Puff Daddy anarudi tena kama alivyoanza.Ikiwa imepita kama miongo miwili tangu atoe albamu yake ya No Way Out 2,bosi huyo wa Bad Boy ametangaza kuja na albamu yake mpya aliyoipa jina No Way Out ikiwa ni muedelezo wa albamu yake aliyoitoa mwaka 1997.
Mwanachama mpya wa Bad Boys,Gizle katika kuthibitisha hayo aliongea habari hizo na mtandao wa Rap-Up alipokutana na waandihsi wake katika sherehe za utoaji tuzo za ASCAP’s Rhythm & Soul Music Awards mwezi uliopita.
Gizzle alisema:“I’m working on Puff Daddy’s last album,”It’s called No Way Out 2.
It’s a crazy project. I’m very honored to be a part of it. Nobody
can make an album like Puff Daddy. I’ll be actually rapping on there
too.”
Albamu ya Diddy No Way Out ya mwaka 1997 ilikuwa na ngoma kibao zilizofanya poa kama:I'll be missing you,Cant No body Hold Me Down,Pain,It's All About Benjamins rmx,Been Around the Worl nk.
Wednesday, July 8, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment