Ikiwa haijaisha hata wiki tangu rappa Rick Ross kutangazwa amemvisha pete ya uchumba na kusema yupo katika mpango wa kufunga ndoa,kuna habari mbaya kumhusu rappa huyo.
Rozay amefunguliwa mashataka na mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Jane Doe kwamba wakiwa katika shamra shamra za tzo za Grammy,rappa huyo eti alimlewesha kwa madawa ya kulevya na kisha ku mbaka katika gari yake.
Taarifa zaidi zinadai mwanamke huyo kabla ya kukutwa mkasa juo alikuwa hotelini hukoLos Angeles alipokutana na kufahamiana na rapp
Ross na watu wake na baadaye wakatoka wote pamoja kuelekea katika gari akiongozana na Rick na mwingine aliyetaja kwa jina la Thaddeus "Black" James,DJ, na security guards watatu.Mwanamke huyo anadai akiwa garini alipewa glass ya kiywaji baada ya kugida ndipo alipojikuta amepoteza fahamu hivyo hakujua kilichoendelea lakini alipopata fahamu alijikuta hayupo sawa.
Tuesday, September 22, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment