Samuel L. Jackson anavunja mohja kati ya miiko aliyoapa kutoivunja katika sanaa yake ya kucheza filamu.Star huyo wa filamu alishawahi kuapa kutoigiza kama shoga ama kum busu mwanaume mwenzake.
Mtandao wa Deadline.com unaripoti,Samuel L. Jackson amesaini kuigiza kama Engineer shoga katika filamu ya The Cell ya Stephen King.
Saturday, November 9, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment