Rappa Kanye West amekutwa hana makosa ya kujibu na muendesha mashtaka Blair Berk katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia paparazzi tukio lililotokea uwanja wa ndege wa Lax huko marekani,mwezi septemba mwaka huu.
Rappa anatakiwa kuripoti tena mahakamani tarehe 23 mwezi january mwakani.
Kanye West leo anafanya muendelezo wa ziara yake ya muzi ya Yeezus Tour huko Arena in Philadelphia.
Yeezus Tour
0 comments:
Post a Comment