Rappa Jay Z ameshitakiwa na TufAmerica Inc. kuhusu kuutumia wimbo wa Eddie Bo “Hook & Sling” na kuuimba kama linaripoti jarida la nydailynews.com.
TufAmerica wamefungua mashtaka hayo huko mahakama ya Manhattan jana (November 7).
TufAmerica wanasema wao waliuza haki za wimbo “Hook & Sling” mwaka1996, kwa mtu mwingine na si Roc-A-Fella Records,hivyo wameshangazwa kuona wimbo huo kutumiwa na Jay Z hivyo wameamua kumfungulia kesi ya madai wakitaka wahisishwe katika mapato yaliyopatikana na yanayoendelea kupatikana kutokana na wimbo huo ambao rappa Jay Z aliubadilisha na kuutia “Run This Town” akimshirikisha Rihanna.
Friday, November 8, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment