Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, June 20, 2016


Nigerian superstar Flavour anaweza akawa namba moja kwa tukio kama hili baada ya kufunguka na kuwa muwazi juu ya mwenzake katika mtindo wa kipekee.
Flavour akiwa katika mahojiano na Hip Tv ya Nigeria alifunguka kwamba hana tena mpango wa kuoa kwasasa kama walivypanga awali na girlfriend wake,Anner Banner kwa kile alichokisema mwenza huyo anamtuhu kuchepuka.
Akiendelea kuongea Flavour alikaririwa akisema:no successful musician has a good home and thus one cannot have both. On her part,.
Kwa upande waker Anna ambaye ni mama mtoto wa Flavour alipoongea na waandishi alisema:
 ‘We are no longer together. I made this decision recently. I spoke to myself and decided it was time to move on and focus on my future and career.  I fell in love and got pregnant unexpectedly for the man I loved. I have never been pregnant before and that’s why I decided to keep my baby no matter what.”
Anna amemaliza kwa kusema amesikitishwa na hali ya Flavour kutokuwa tayari kumlea binti yao kifamilia.

0 comments:

Post a Comment