Baba yake Drake,Dennis Graham,amesema yupo katika mkakati wa kurekodi nyimbo na mwanaye.
Baba yake Drake ambaye hapo awali alikuwa mpiga dram wa Jerry Lee Lewis,amesema kwa mud mrefu wamekuwa katika mpango huo lakini sasa anaona muda umewadia.
Drake anasema anatimiza ndoto za baba yake,baba yake alitaka sana kuwa muimbaji maarufu na hakufanikisha.Drake ameshafanya bonus record katika albamu yake,imbo unaitwa
'Heat Of The Moment.'
Thursday, November 7, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment