Rappa mwenye umri wa miaka 18 tu,anayetokea Chicago,Chief Keef anaenda tena jela siku 90 kama ilivyoamuriwa na jaji.
Mtandao wa TMZ unaripoti jaji mmoja huko Chicago amemuhukumu Keef kwenda jela siku 90 baada ya rappa huyo kufeli kutekeleza masharti ya sheria ya kuwa chini ya uangalizi,hivyo ameampa adhabu hiyi iwe sehemu ya mafunzo na kurekebisha tabia,rehab.
Habari zaidi zinadai rapa huyo mwenye umri wa miaka18 amekpatwa na hukumu ya adhabu hiyo baada ya kufeli vipimo vya vilevi mbalimbali vikiwemo pombe na madawa ya kulevya.
cops clocked him doing 110 mph
in a 55, back in May.
Thursday, November 7, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment