Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 11/06/2013 02:15:00 AM
No comments
Mtandao wa Showbiz 411 unaripoti, Lady Gaga na Manager wake,Troy Carter wametofautiana hivyo hawapo pamoja tena kikazi.Wawili hao wametofautiana wiki moja kabla Lady Gaga kuachia albamu yake mpya ya ARTPOP ambayo itatoka Nov. 11 Chanzo kimoja cha habarihizi kinadai sababu kubwa ya wawili hao kutofautiana ni katika maswala ya ubunifu na mengineyo mengi ambayo wawili hao walikuwa wakikwazana na hawakufikia muafaka.
0 comments:
Post a Comment