Kijana mmoja wa umri wa miaka 28 toka maeneo ya Brooklyn jina "Sauce Da Boss"amesema mapolisi wa New York walwakamata na kumtaka a rap kwaajili ya kujikomboa yeye na wenzake.
Sauce amesema,akiwa nyumbani katika apartment na nduguye na rafiki yake,mapolisi waliingia na kuanza kusachi nyumba nzima huku wakiwa wamefunga pingu.Sauce anasema mapolisi hao kwa bahati nzuri hawakukuta chochote cha kuwatia hatiani.polisi hao walimuangalia Da Sauce na kugundua kwamba ni rappa hivyo kabla ya kuwafungua pingu walimuamuru awape mistari ndiyo wajikomboe,ndipo rappa huyo alipowachengua kwa mistari na hatimaye kufunguliwa pingum na kuachwa huru.
Wednesday, November 6, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment