Aliyekuwa kiongozi wa Ruff Ryders,DMX hawezi kukwepa mikono ya polisi,taarifaa zianadai DMX amekamatwa wikiendi hii huko South Carolina kwa makosa matatu.
Mtandao wa TMZ unaripoti DMX aka Earl Simmons alisimamishwa na mapolisi wa airport ya Spartanburg bada ya kuliona gari na kuingiza namba zake kwa system na data kuja kutoa majibu kwamba,gari haina bima,haijalipia leseni ya barabara yaani road licence na leseni ya dereva haimruhusu kuendesha.
Tuesday, November 5, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment