Mixtape ya rappa na kiongozi wa Young Money, Lil Wayne inayokwenda kwa jina la No Ceilings 2 imezinduliwa jana(November 26).
Mixtape hiyo yenye nyimbo 23 wameshirikishwa mastaa Mannie Fresh katika wimbo "Fresh" na rappa Future na Yo Gotti katika wimbo"Cross Me."
No Ceilings 2 is inapatikana kwa kudownload kupitialivemixtapes.com.
T, tracklist and mixtape stream are as follows:
Tazama orodha ya nyimbo zilizomo katika mixtape ya No Ceilings 2 na kasha lake kwa nyuma,hapo chini:
Na katik habari nyingine kampuni ya mavazi ya rappa Lil Wayne’,Trukfit clothing line imefunguliwa mashtaka na moja kati ya model ambaye ametokea katika nembo hizo.
Model huyo aliyefahamika kwa jina la Shanise Taylor amedai picha yake iliyotumika mwaka 2011 na kampuni hiyo inayomuonyesha mpaka nguo ya ndani ilitumika bila makubaliano rasmi hivyo anaishitaki kwa udhalilishaji na anafungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo.
Tazama picha ya mrembo huyo hapo chini:
0 comments:
Post a Comment