Céline Dion hatotumbuiza Caesars Palace huko Las Vegas jumamosi hii ambapo itakuwa siku moja baada ya mazishi ya mumewe japo tamasha lake lilishatangazwa na hii ni kutokana na kupatwa na msiba mzito wa mumewe na kaka yake kwa wakati mmoja na hivyo m badala wake atatumbuiza Elton John.
Taarifa toka kwa wahusika zinasema Celine Dion atarudi jukwaani huko Vegas Feb. 23.
Taarifa toka kwa wahusika zinasema Celine Dion atarudi jukwaani huko Vegas Feb. 23.
0 comments:
Post a Comment