Mtandao wa habari za kidaku za mastaa wa marekani,TMZ,umeripoti rapa Lil Wayne alirtupa microphone na kuondoka jukwaani wakati akitumbuiza katika sherehe za maonyesho ya Milan Fashion Week huko Italy.
Katika kipande cha video kilichopostiwa katika mtandao huo kinamuonyesha rapa Lil Wayne akiwaimbisha mashabiki hit song ya John,na mashabiki kuitikia bila mzuka wa kutosha na rapa huyo akitupa mic na kusepa huku akiwaacha mashjabiki wakishangaa.
Upande wa timu ya Lil Wayne umekanusha habari ya TMZ na kusema kwamba rapa huyo hakuondoka jukwaani kwa sababu mutikio mdogo wa masbiki bali hakupendezewa na mazingira mabaya ya kazi,jukwaa,mziki na hata kipaza sauti hakikuwa sawa.

0 comments:
Post a Comment