LL Cool J amepata heshima ya kuwekewa nyota yake Hollywood Walk of Fame jana (January 21).
Katika sherehe za usimkji wa nyota yake mwanamuziki na muigizaji huyo wa filamu,LL COol J alisema: “I’m grateful,". "This is pretty big for me."
Puff Daddy na Queen Latifah walijumuika na LL Cool J katika sherehe hizo zilizofanyika mbele ya mgahawa wa kifahari ya the Hard Rock Café huko Hollywood,Los Angeles.
WAhusika na mchakato huo wa uwekaji wa nyota hizo za kumbukumbu za heshima,The Hollywood Chamber of Commerce,walitangaza orodha ya wanaowekewa nyota kwa mwaka huu wa 2016.
LL Cool J alipokea nyota hiyo ya heshia kipengele cha Recording csambamba na waimbaji mastaa kama Bruno Mars, Cyndi Lauper na Adam Levine.
LL amedumu katika tasnia ya muziki kwa takribani miongo minne na kufanikiwa kuachia albamu 14 zilifanya vizuri katika chati za Billboard top 200. Albamu yake ya kwanza ya Radio alitoa mwaka 1985 na ilifikisha mauzo ya platinum na pia LL ana albamu tatu zilizofikisha mauzo ya double platinum ambazo ni ya mwaka1987 Bigger And Deffer, 1990 Mama Said Knock You Out na 1995's Mr. Smith.
LL Cool J pia amekuwa akiongoza sherehe za utoaji wa tuzo za Grammy mara nne mfurulizo
Comedian Kevin Hart pia amepokea nyota hiyo ya heshima katika kipingele cha the class in the Live Theatre/Live Performance. FIlamu ya hivi karibu ya Kevin Hart,Ride Along imevunja rekodi ya filamu inayouza zaidi kwa sasa ikiwa imeingiza zaidi ya 41.2.
0 comments:
Post a Comment