Mariah Carey ana pete mpya mpya kubwa na ya thamani kidoleni mwake.
Taarifa zaidi zinasema boyfriend wake tajiri James Packer alitupia swali na Mariah akajibu YESSSSS!!!!
TUkio hilo lililtokea huko NYC ambapo tajiri Packer aliwaalika kwa siri marafiki wakaribu wa Mariah kwa private dinner katika hotel ya kifahari ya Eleven Madison Parkambapo wakati wakiendelea kupata chakula hicho cha usiku ndipo tajiri huyo alipopiga goti moja chini na kukamilisha tukio la kumvalisha pete Mariah Carey.
Carey na Packer walianza mahusiano yao tangu mwezi june 2015 .
Friday, January 22, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment