Sherehe za tuzo za 58 za Grammy zimetangazwa kufanyika na kurushwa live katika televishe Feb. 15.
Ikiwa zimebaki siku si nyingi tayari waandaaji wa sherehe hizo wametaja orodha ya majina ya wanamuziki watakaotumbuiza.Orodha hiyo itaongozwa na Rapa Kendrick Lamar, The Weeknd na Adele.
Rapa Kendrick ambaye anatokea Compton,ameongoza kutajwa mara nyingi zaidi kuwania tuzo hizo huku akiwa ametajwa mara 11 vikiwamo vipengele
vya Album of the Year, Song of the Year, Best Rap Song, Best Rap Album.
Akihojiwa na waandishi wa gazeti la The New York Times juu ya tuzo gani katika alizotajwa angependa kuichukua,rapa Kendrick Lamar amesema bila kupepesa macho alijibu
“I want all of them. Because it’s not only a statement for myself, but
it’s a statement for the culture. They’re all important, because of the
foundation the forefathers laid before me.”
Thursday, January 21, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment