Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 10, 2016

 
Tyga amesema Tupac ni baba yake alipohojiwa na watangazaji wa mtandao wa story za kidaku za matsaa marekani wa TMZ.
Rapa Tyga alisema: “I’m inspired by him as a student of the culture, especially my generation,” the rapper says. “My real father’s been in jail all my life so I never really knew my real father. 'Pac is like a father figure to me.”
Tupac amekuwa mfano wa kuigwa kwangu na kwa kizazi hiki katika sanaa na utamaduni,baba yangu mzazi amekuwa jela maisha yake yote na sijamfahamu hivyo namchukulia na namuona Pac kama baba kwangu. 
Tyga alikutana na swali kuhusu yeye na Tupac baada ya siku ya jumapili March 6 kutuma mitandaoni picha yake na Tupac wakiwa wamevalia sale jezi za timu ya mpira wa kikapu za Dukena siku iliyofuatia  (March 7) alituma katika mitandao ya kijamii ujumbe huu: "Pac taught me a lot more than my own father. Inspired me, Motivated Me, Listened without ever being there.”
Akimaanisha :Tupac amemfundisha mengi kuliko hata baba yake mzazi,amemfanya awe rapa bora na amempa msukumo mkubwa.

 

0 comments:

Post a Comment