Mwamba wa muziki nchini Uganda Jose Chamelene alifunguka mambo mengi kumhusu katika mahojiano na NTV.
Akionea kuhusu kubadilisha Management alisema Management is like a sugar cane, once you extract the juice, it's useless and that is why I keep on changing my management...
Alipoulizwa mbali na muziki anajishughulisha na nini alisema I'm a farmer ...I have pine trees ( misonobari ) in Mubende and I have 400 goats and 80 head of cattle.
Music is like wine, the older the hits the better..that is the more
reason Afrigo Band will have it's shows filling up even when they do not
have a new song...
Music is like show business. Some artists have their music played on
MTV all the time, but they are still staying at their parents home.
Akielezea chanzo cha kuachana na mke wake Daniella alisem:siku moja wakiwa wanampeleka mtoto shule walikutana na magazeti yaliyopambwa na vichwa vya habari 'Chameleone Fights for a Woman in a
Bar'ikimaanisha Chameleone alipigna bar kisa mwanamke na kutokana na tabia yangu ya kuchelewa nikitokea studio huku nimeonja kidogo basi Daniella aliamini uvumi huo na tangu hapo
Daniella aliondoka nyumbani na watoto na sina mawasiliano naye coz anemiblock simu.
Chameleone amevitupia lawama vyombo vya habari nchini humo kwani vimekuwa chochezi haswa staa anapopatwa na tatizo.
Monday, June 5, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment