Albamu ya Drake '' Views '' ilizinduliwa April 29 lakini imeng'ang'ania katika chati za albamu bora 200 za Billboard kwa takriban wiki tisa sasa na kuandika history nyingine ya kuipiku albamu ya Eminem The Marshall Mathers LP iliyokuwa ikishika usukani.
Msimamo wa chati ya Billboard nyimbo na albamu bora 200 za Rap & R&B mpka 06/30/2016 upo hivi:
#1 Drake - VIEWS - 110,788 (24,801) [99,944,424]
#2 Beyoncé - LEMONADE - 47,598 (31,878) [4,367,693]
#5 Rihanna - ANTI - 36,959 (7,843) [31,642,864]
#6 Hamilton Original Broadway Cast Recording - 35,929 (21,798) [18,797,031]
#11 Bryson Tiller - Trapsoul - 22,551 (6,214) [19,939,785]
#16 Kanye West - The Life Of Pablo - 19,356 (0) [26,391,546]
#18 Kevin Gates - Islah - 18,727 (5,604) [14,263,766]
#20 Chance The Rapper - Coloring Book - 16,704 (0) [25,057,325]
#25 The Weeknd - Beauty Behind The Madness - 14,622 (3,315) [13,215,691]
#28 Future - EVOL - 13,993 (1,385) [14,583,415]
Pamoja na albamu ya Drake kukaa namba moja kwa wiki tisa lakini bado haijazifikia albamu za Vanilla Ice To The Extreme ambayo ilikaa kwa wiki16 katika kipndi cha miaka ya 1990 na 1991 na albamu ya MC Hammer Please Hammer Don’t Hurt 'Em ambayo ilikaa kwa wiki 21 mwaka 1990.
Tuesday, July 5, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment