Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, July 11, 2016



 
Tamthiria ya Empire’inaendelea na mpango wake wa kuwashirikisha wasanii wa kawaida mpaka levo za juu.
French Montana na Birdman wametajwa kama ndiyothe latest MCs watakaoshiriki kaika tamthiria hizo zenye mashabiki wengi zaidi.
The Bad Boy rapper French Montana atashiriki katika tamthiria hiyo inayoonyeshwa na televisheni ya Fox na ataiiza kama Vaughn huku pia akiwa ametajwa ataigiza katika filamu The Perfect Matchna nyingine Respect the Shooter ambazo zipo katika mchakato.
Birdman amtajwa kuigiza kama mwenyewe.
Ukiacha French Montana na Birdman ,Xzibit ametajwa kushiriki.
Mastaa hao wanaingia katika orodha ya mastaa walioshiriki tamthiria hiyo kama  Ludacris, Petey Pablo, Da Brat, Snoop Dogg, Rita Ora, Juicy J, Timbaland, Charles Hamilton, Pitbull nk.
Empire returns itarejea katika TV ya Fox , Sept. 21 .

0 comments:

Post a Comment