Kufuatia Taylor Swift kujitangaza kwenye vyombo ya habari kwamba ameandika wimbo unaofanya vizuri kwa sasa ulioimbwa na Rihanna na Calvin Harris ambaye alikuwa boyfriend wake This Is What You Came For,Dj huyo mscotishi mwenye umri wa miaka 32 amemjia juu na kumchana Swift kwa kile alichokisemaanampakazia.
Hapo awali ilielezwa kuwa wimbo huo uliandikwa na mtu ailiyetambulika kwa jina la waye Nils Sjoberg
lakini sasa inasemekana kuwa kuwa Nils lilikuwa ni jina lakubuni tu na
wimbo huo uliandikwa na Taylor Swift wakati wa uhusiano wao, Harris na Swift waliandika
wimbo huo na kuamua wasiutoe.
Utata ulianza pale msemaji wa Taylor Swift kusema
Taylor Swift ndiye aliyeandika wimbo This Is What You Came kwa kutumia jina la uzushi Nils
Sjoberg.”
Thursday, July 14, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment