Popular singer Yemi Alade ametajwa kupata dili lenye mkataba mnono.
Yemi Alade aka The 'Mama Africa' ni mja kati ya wanamuziki wenye mafanikio makubwa na wanaofanya vizuri sana toka nchini Nigeria,ametajwa kuingia mkataba wa kuitangaza na kuwa balozi wa kampuni inayojihusisha na mambo ya malipo kwa mtandao ya social digital wa Nairabox.
Kuthibitisha hayo Yemi Alade aka The 'Mama Africa'aliandika habari hiyo katika ukurasa wake wa Instagram , July 12, 2016na kushea na mashabiki.
Aliandika
"Everything
is happening online right now, technology is the future and Nairabox is
the future, you don’t need physical cash, you can buy movie tickets,
purchase airtime, make bill payments and transfer cash to your kids in
school…The best part about it is that it operates all over the country
and you don’t need data.”
Akitupia kati snapchart, Alade aliandika"From okada to taxi to rickety cars
to porshe rides to Jets .! But still, The greatest wealth you can
acquire is knowledge. #Readup."
0 comments:
Post a Comment