Iyanya amekanusha uvumi kwamba sababu za kuondoka katia lebo aliyokuwa akiifanyia kazi tangu 2011 ya Made Men Music Group MMMG eti kisa amegombana na meneja Ubi Franklin.
Iyanya kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka kwa kusema:“All
these are lies. I'm not fighting Ubi. His wife is the best woman in the
world for him, She is a good woman, she's a good cook too. You guys
please chill,”
Iyanya anayetamba na ngoma yake mpya Ayaya MMMG, and his latest
single, ‘Ayaya’ featuring South-South rapper Ikpa Udo na Upper X, alionyesha dalili za kutoendelea kufanya kazi na MMMG baada ya kurelease kazi hiyo bila logo ya Lebo hiyo.
Mtu mmoja wa karibu wa Iyanya amesema sababu kubwa ya muimbaji huyo kuondoka MMMG,ni kwenda ku launch new record label na amesema Iyanya ambaye yupo America tangu mwezi March atarudi na vifaa kamili na kufungua studio na kutangaza record label yake.
Mtu mmoja wa karibu wa Iyanya amesema sababu kubwa ya muimbaji huyo kuondoka MMMG,ni kwenda ku launch new record label na amesema Iyanya ambaye yupo America tangu mwezi March atarudi na vifaa kamili na kufungua studio na kutangaza record label yake.
Taarifa zaidi zinasema hatoimaliza albamu iliyokuwa afanye joint project na Banky W na badala yake atafanya comeback baadaa ya albamu ya 2015 “Applaudise” kwa kuachia albamu mpya kupitia lebo yake
Iyanyana Ubi Franklin walianzisha rec label ya Made Men Music Group 2011,na kufanikiwa kuachia albamu mbili pamoja na compilation album.
Hwa ndiyo wanaounda MMMG:
Hwa ndiyo wanaounda MMMG:
- Ubi Franklin Ekapong Ofem - Executive producer
- Iyanya Onoyom Mbuk - Executive producer, primary artist
- Tekno - Primary artist, record producer
- Selebobo - Primary artist, record producer
- Baci - Primary artist
- Abinibi - Album art
- Emma Nyra - Primary artist
- Paul Ukonu - Photography
0 comments:
Post a Comment