Sherehe za kuwatunuku wakina dada waliong'ara na kuipaisha rap na hiphop miaka hiyo.
Sherehe hizo ambazo zilisimama kwa takribani miaka 6 zilifana na zilichangamsha kwa watunukiwa na hata waliohudhuria huko New
York City katika ukumbi wa Lincoln Center siku ya jumatatu.
Kwa mwaka huu walliotajwa walikuwa wakina dada waliong'ara na kuipaisha rap na hiphop miaka hiyo ni Queen Latifah, Missy Elliott, Lil Kim na Salt-N-Pepa.
Katika sherehe hizo mastaa kibao walishambulia jukwaa akiwamo Misdemeanor,aliye host Eve, Nelly Furtado, Lil Mo na Trina wao walizileta jukwaani "Get Ur Freak On," "Work It," "Hot Boyz" na"One Minute
Man" na baadaye"Lose Control" and "WTF
(Where They From)." Monica aliwakilisha na "So Gone" na Tweet alitisha na "Oops (Oh My)" na kama haitoshi Missy alirejea tena jukwaani na "Lady Marmalade.
Kilichopelekea Foxy Brown kuwawajia juu waandaaji wa sherehe za VH1’s ‘Hip Hop Honors ni kutotajwa yeye na Laurin Hill.kupitia mitandao aliandika:
“I Awoke This Morning, Oblivious And Shocked At Our Fans Across The
World’s TRENDING Outrage At (Reality Show Network) @VH1’s Non-Inclusion
Of LAURYN HILL & FOXY BROWN,” she wrote. “Anyone Recognized,
(Whether The Contribution Big Or Small) I Applaud. Personally, I’d
Prefer Being Held To A Much Higher Standard In My Walk, But Fans Went
Ballistic; The PEOPLE Have Spoken!”
Friday, July 15, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment