Big Sean akihojiwa na waandishi wa jarida la Vogue alitaja majina ya wakali anaowakubali katika mpangilio wa pamba.
Big Sean alisema :nang'ara na vitu vya gharama,Rolex ring kama walivyokuwa waing'ara Tupac na Biggie ambao nilikuwa nikikua nawaangalia na hata Jay Z, Kanye,Pharrell.
Sean ameongeza kusema alivutiwa zaidi na uvaaji wa Tupac zile leather vests na jerseys.
Biggie na Puffy ndani ya masuti.
Nakilri kwamba hao watu ni kioo tosha cha mimi kung'ara.
Big Sean alimtaja pia Nas kuwa alikuwa akimvutia kwa uvaaji wake wa Carhartt jacket na NY Timbs.
Friday, July 15, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment