South African rapper, AKA ameonyeshwa kutopenda kitendo kupigwa kofi alichofanyiwa road manager wake Tshiamo Letshwene na Dj, Black Coffee.Taarifa zaidi zinasema utata ulianza pale mameneja wa rapa AKA waliofika eneo la tukio wakiwa wamechelewa walipotaka kuseti mitambo wakati dj Balck Coffee akiwa anaseti show yake katika onyesho la DSTV’s I Rock Music Festival siku ya jumamosi.
Katika kipande cha vieo kilichosambaa mitandaoni kikimuonyesha Dj Black Koffee akizozana na jamaa wawili na baadaye kumuwasha kibao mmoja wao ambaye ni roda meneja wa rapa AKA.
Rapa AKA alitoa taarifa za kutotumbuiza kwa kuandika:Apologies to my fans in PLK .... We won't be performing tonight. I arrived, my band setup .... And then some bullshit happened.
Nobody will lay hands on someone on my team in front of thousands and expect me to continue as normal.
If you want to know why I didn't perform tonight you will need to ask @dstvsa why it's ok for people to assault my road manager on stage.
Now, Black Coffee has apologised for his viral altercation with AKA’s manager.
After fans waded into the beef between the two artistes, with many taking Black Coffee’s side, the DJ has finally apologised for his actions.
"I am sorry, I truly apologise, I am not that guy," he said
0 comments:
Post a Comment