Mkali wa miondoko ya bongofleva nchini,Baraka The Prince amethibitisha kuwepo kwa kolabo yake na Alikiba aliyoipa jina ''Nisamehe'' .Kupitia akaunti ya ke ya tweeter Baraka ameandika :The most anticipated collaboration "Nisamehe" will officially be released on 13.9.2016
0 comments:
Post a Comment