Kanye West amesema kitu kuhusu marapa wanaomgeza swagger zake.
Kanye West aliyasema hayo wakati akitumbuiza katika muendelezo wa ziara yake ya kutangaza albamu yake ya Saint Pablo Tour huko Edmonton, Canada Saturday (October 15).
Rapa Kanye West kwa mtindo huru maarufu kama Freestyle aliwachana ma rapa wanaokopi swagger zake kuanzia kuvaa,muonekano,mitindo na mpaka aina ya jukwaa la mtindo wa kuning'inia analolitumia katika ziara hizo.
Kanye West alisikika akisema mbele ya maelfu ya mshabiki:
“This the original,” “Accept no imitations.You with the rap god right now. Niggas be copying my shit bro. Stealing our shit, stealing stages. Copying our shit one-to-one.”
West alirusha dongo hilo bila kusema linamhusu nani.however, doesn’t make it clear who he is referring to.
0 comments:
Post a Comment