Mtandao wa Radar Online unaripoti hakimu anayendesha kesi inayomkabili rapa 50 Cent amemuamuru rapa huyo kuilipa kampuni watengenezaji wa headphone za Sleek,zaidi ya dolla millioni 16 million.Tatizo hili kati ya 50 Cent Sleek lilianza mwaka 2013.50 Cent alikuwa akifanya kazi na watengenezaji hao wa headphones za Sleek na aliwekeza kiasi cha dolla millioni moja.Baadaye 50 Cent aliachana na kampuni hiyo bila kufuata taratibu na kufanya kazi na kampuni nyingine na kutengeneza headphone nyingine za Sync by 50 ambapo madfai ya Sleek yanasema 50 ametumia mtindo kama wao na zinafanania na zaidi wamemshitaki kwa kuuza siri za namna ya utengezaji wa bidhaa hizo.
Tazama headphones hizo hapo chini:
Sleek Sync by 50
0 comments:
Post a Comment