Akiongea na Vlad TV mc wa Brand Nubian ametilia mkazo zaidi tukio lililomhusisha kijana wa miaka 18-aliyemzingua mke mtarajiwa wa Kanye West na kusema alimuona ni mdhaifu.“Rappa huyo ameongeza kusema Kanye amebaguliwa na amedhalilishiwa mkewe na bado akalipa $250,000 to,” Lord Jamar said.Lord amesema si rahisi kwa dogo yeyote kumtolea kauli za kibaguzi ama dharau mke ama demu wa rappa kama Jay Z, Game,50 Cent ama Gucci Mane sababu anajua atakachkipata ukiachilia mbali malipo.Rappa Lord Jamar ametoa angalizo kwa marappa kuwalinda ipasavyojuu ya wake zao na wasiruhusu kubaguliwa na kudhalilishwa.
0 comments:
Post a Comment