Cash Money Records rapper & president Mack Maine aliingia ukurasa wake wa Twitter jana (April 8) kukanusha madai yanayosema wamefanya usajili wa rappa shoga anayetambulika kwa jina la Fly Young Red.
Tuhumahizo zilianza Ijumaa ya (April 4),baada ya mtandao wa 24HourHipHop kutoa taarifa kwamba rapa Fly Young Red amesainiwa na Lil Wayne.
Na hichi ndicho alichoandika president huyo wa Cash Money Records,Mac Maine
Mack Maine ✔
@mackmaine
Follow
I don't know if this is a publicity stunt but we (YMCMB) haven't signed any new artist recently....Love
0 comments:
Post a Comment