Baada ya kuonekana wakiwa pamoja miji mbali mbali ya ulaya,rappa Drake na Rihanna siku ya jumanne usiku walionekana Supperclub huko Hollywood katika kusherekea birthday ya rafiki kipenzi wa Rihanna,Melissa Forde.
Taarifa zaidi zinasema wawili hao kila mmoja alifika kwa muda wake lakini baadae walionekana wakiwa pamoja tena karibu akikumbatiana,kunywa na kucheza pamoja.
Sambamba na Drake na Rihanna pia walikuwapo watu maarufu kadhaa kama mume mtarajiwa wa Ciara,Future,super-producer Mike WiLL Made It were,J. Cole,Christina Milian, na Busta Rhymes.
Thursday, April 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment