The Cash Money boss amemzawadia Justin Bieber gari lake la thamani kubwa aina ya Bugatti. Justin Bieber ameonekana amepozi kwa picha katika Instagram kuonyesha red Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport Vitesse.Gari hilo la kifahari linakadiriwa kuwa na thamani ya dolla millioni 1.9 na ndilo gari dogo lenye mwendo kasi zaidi duniani.
“Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity,” ndiyo maneno aliyoyapost
Bieber akiwa ndani ya mkoko huo.
Wiki iliyopita Bieber alikuwa studio naBirdman na msanii waCash Money Austin Mahone wakifanya ngoma mpya.
Mtandao wa TMZ,umesema gari hilo si zawadi ya moja kwa moja bali Birdman amemuhaidi Bieber kwamba ndiyo usafiri atakaokuwa akiutumia pindi akuenda pande za Miami
Thursday, April 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment