Ikiwa bado Kanye West akiwa bado amelazwa chini ya uangalizi wa madaktari,mkewe Kim Kardashian West amekuwa naye bega kwa bega kuuguza lakini cha kushangaza watoto hawajawahi kuonekana katika hospitali hiyo ya UCLA japo taratibu na sheria za hospitalini hapo zinaruhusu.
Mtu wa karibu na familia ya Kardashian amesema Kim, 36 hajawapeleka watoto kumuona baba yao tu kwa kuhofia ukaribu alionao kwa watoto hao North 3, na Saint, miezi 11 hali iayomkabili ya maatizo kwenye akili.
Taarifa za wauguzi zinasema mke wa rapa huyo,Kima Kardashia amekuwa katika wakatyi mgumu kumuuguza mumewe huyo ambaye yupo katika hali mbaya iliyotokana na uchovu upungufu wa majina na kufikiria sana,bado ana kiu ya kutengeneza muziki kwani amekuwa kaifanya hivo kila mara akipata kijinafuu.
Kanye West akiwa bado anapatiwa matibabu mastaa wenzake wamekuwa wakimtakia afya njema lakini ni tofauti na rapa Wiz Khalifa ambaye yeye amekuja na ushauri tofauti na kumshauri Kanye West kwamba “He need to smoke some weed.
0 comments:
Post a Comment