Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 1, 2016

 
Jana muimbaji wa gospel toka Keyna anayefahamika kwa jina la Bahati na anayetamba na rekodi yake ''Mapenzi'' aliwajia juu wasanii wa kenya wanofanya muziki wa burudani kufanya muziki wa injili kwa jili ya kutafuta  umaarufu na pesa.Bahati aliwachana Sauti Sol, Collo na Nyashinski Pisa alikosoa wasanii hao kutajwa kuwania tuzo za muziki wa injili za Groove awards (a gospel only award) ambapo katika kipengele cha ‘Male Artist of the Year 2016/2007wametajwa kuwania tuzo hiyo ni sambamba na Sauti Sol (Kuliko Jana), Nyashinski (Mungu Pekee).

Baada ya kupokea tuhuma hizo muimbaji wa kundi la Sauti Sol’s, Bien alijibu mapiga kwa kuandika:
“Bahati go and write songs or rather get good songwriters to work with. DO NOT do music targeting awards. Awards are a by-product of quality. Use this energy to better your musicianship. Also who told you to speak on behalf of Gospel musicians! There are plenty of Gospel artists who are doing God’s work with anointing as they should. So stop roping an entire industry into your publicity stunts. It just makes Kenyan musicians in general look bad. Sautisol didn’t sing Kuliko Jana targeting any award. Music from the heart goes to the heart. As musicians our legacy is cast on song not hype. I mean this with love and respect,


Muimbaji mwingine aliyefahamika kwa jina la  L-Jay Maasai pia aliandika:
“No one appointed Bahati as the spokesman for the gospel industry. There are plenty of musicians doing real gospel music and (are) inspired by the Word of God. Maybe we as fans are just paying attention to the wrong musicians… Let’s not dwell in some quotas who have become experts in publicity stunt,”

0 comments:

Post a Comment