Mary J. Blige anateswa na talaka.
The Queen of Hip-Hop Soul hivi karibuni aliripotiwa kufungua kesi ya madai ya talaka dhidi ya aliyekuwa mumewe kwa miaka 12 bw Martin “Kendu” Isaacs.
Mary J. Blige baada ya kufungua madai ya talaka amesema aliyekuwa mumewe huyo bw Martin “Kendu”aliweka vizuizi kadhaa ikiwemo kutaka kulipwa kila mwezi na kama haitoshi sasa anazuia vitu vyake vya thamani vikiwemo tuzo yake ya thamani kubwa ya Grammy na magari yake ya kifahari yakiwemo Range Rover ,
Mercedes-Benz C300 na SL550 .
Marypia amesema Isack ambaye pia alikuwa kama meneja wake amesema anamdai zaidi ya dola 420,000 ambazo anadai ni za kibiashara ambayo yeye haitambui.
Blige ameongelea drama za mumewe huyo katika new single “Thick of It,” .
Wednesday, December 14, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment