Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 12/05/2016 02:03:00 AM
No comments
DJ Black Coffee aliingiza sokoni kazi yake mpya ijumaa asubuhi na ilipofika saa saba mchana ikatangazwa kifikia mauzo yz Gold.
Kazi hiyo ya Black Coffee aliyoipa jina The Journey Continues,ilitajwa kufika mauzo ya Gold masaa 7 tangu iingizwe sokoni ambapo kwa mujibu wa Recording Industry of South Africa (RiSA), project kutajwa kufikia mauzo yagold inabidi iwe imeuza zaidi ya nakala 10,000.
DJ Black Coffee ambaye jina lake kamili ni Nkosinathi Maphumulo katika kuthibitisha hilo alitweet “The Journey Continues ????????????????????…Christmas
came Early…..Buy the Cd with Dvd and watch the short Animation movie
called.
Albamu ya mwisho ya Black Coffee, Pieces of Me, iliuza platinum ndani ya mwezi mmopja na nus.
0 comments:
Post a Comment