Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 12, 2017

 Tekno
Mambo mengi yanatokea na mengi yanajiri kila kukicha na kikubwa ni habari za wasanii wao pendwa.Vyombo vya habari vinaandaika habari zitakazokuwa na mvuto kuwavuta wasomaji na wauze alkadhalika mitangdao ya kuijamii nao inaongeza namba ya watazamaji kwa kuandika habari za wasanii wpendwa.
Ushindani wa kibiashara kutanua masoko na kuwashika mashabiki wengi wanaopenda habari kuwahusu wasanii wawapendao unapelekea wakati mwingine vyombo hivyo kuandika habari za kizushi kulishinda soko ila wakati mwingine hushirikiana na baadhi wasanii kuvumisha habri zao zisizo za kweli.
Usisambazi habari ya kuiona tu kama msanii kanunu jumba au gari la kifahari usishabikie mpaka uhakikishiwe kwa kukmuona msanii huyo analo gari hilo ama anaishi kwa jumba hilo.
Mara nyingi kumekuwa na kuumbuka kwa habari za uongo kama watu kuringishia pesa wasizonanzo,kudanganya kuhusu mikataba na lebo zao na hata kuonyesha picha za umati wa watu wamehudhuria maonyesho yake.

Any announcement without proof is fake news until some sort of proof is supplied. When an artist makes a bold claim, if it isn’t corroborated by a document or tangible evidence that it exists outside social media, then it is fake news.

0 comments:

Post a Comment