Usher amemlipa kiasi cha $1.1 million kama fidia kwa mwanamke aliyemuambukiza ugonjwa wa zinaa aina ya malengelenge mwaka 2012.
Usher Raymond IV aliwahi kufanyiwa vipimo na kukutwa na ugonjwa huo wa malengelenge katika kipindi cha miaka ya 2009 / 2010.
Usher Raymond akiwa na ugonjwa huo alishiriki ngono zembe na mwanamke bila hata kumjuza mwanamke huyo kuchukua tahadhari yeyote ya kuwa yeye ni muathirika wa ugonjwa wa malengelenge.Mwanamke huyo ambaye jina lake limehifadhiwa aliripoti olisi kuambukizwa na Usher na kupewa ya kwenda mahakamani ambapo kesi hiyo iliendeshwa na kumkuta star huyo ana makosa na kwa mujibu wa sheria za California ni kosa kubwa ambalo linaweza kupelekea mtuhumiwa kufungwa kjela ama kulipa faini kubwa kama aliyotakiwa Usher.
0 comments:
Post a Comment