Wakati kimbunga Harvey kikiendelea kufanya mauaji na uharibufu huko Texas, celebrities waonekana kuguswa na wanashiriki kuchangia wahanga wa kimbunga hicho.
Comedian Kevin Hart aliandaa mpnga maalumu wa kuchangia maafa hayo kwa kuandaa challenge maalumu ya kuwashawishi mastaa wenzake ambapo yeye alisema anaanza kwa kuchangia
$25,000 kuwasaidia Red
Cross katika shughuli za uokoaji na matibabu kwa waathirika na kuwataka mastaa wenzake kucha ngia kwa kutuma kijipande cha video kikisema: "I think we've participated in a lot of challenges on the internet,
some meaningful, some meaningless, but we've all done them,"
"At this point, this is a serious matter. I think the people are in bad
shape and they need help. I'm going to lead the charge and step up this
way."
Comedian Kevin Hart amewataja "Jumanji" co-star Dwayne (The Rock) Johnson, Steve
Harvey, Chris Rock, Dave Chappelle, Jerry Seinfeld, JAY-Z, Beyoncé na
Justin Timberlake kuchangia pia wakipata nafasi.
Baada ya ya tangazo hilo Hip-hop singer Chris Brown alikuwa wa kwanza kujibu mapigo ya Hart ambapo kupitia mtandao wa twitter alijipost kivideo akisema naahidi kuchangi dola 100,000na kuacha ujumbe huu:
"We need to come together. I'm donating $100,000," he said in a Twitter
video. "It's for everybody out there in Texas for the relief in
everything.
Naye muimbaji mahiri mzaliwa wa Houston,Beyoncé amesema yeye na timu yake ya BeyGOOD wanalishughulikia hili kwani limewagusa.
Kimbunga Harvey kimetajwa kuua takriban watu 10 na namba hiyo inatarajiwa kuongezeka kwa mujibu wa maofisa ambao bado wanafanyia kazi uchunguzi huku wakiendelea na shughuli za uokoaji .
Tuesday, August 29, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment