Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, September 20, 2017

 P-square
Kundi mahiri la muziki nchini Nigeria linalounda na vijana mapacha Peter na Paul,Psquare limetajwa kuahirisha ziara zao za muziki zilikuwa zifanyike Canada na UK kutokana na sababu za kutokuwa na maelewano baina yao.

 Taarifa zaidi zinasema Paul Okoye, Psquare ndiye aliyethibitisha kutokuwepo kwa ziara hiyo ya nchi za USA na Canada ambayo iliandaliwa na promoter maarufu Joy Tongo pale alipomjibu shabiki mmoja aliyeandika katika mtandao kwamba ana wasuburi kwa hamu mapacha hao kuwaona America/Canada mwezi huu September na kutaka kujua kama kweli maonyesho hayo yapo ama ndio alipojibiwa na Paul Okoye : “Not happening.”
Ripoti inayosambaa ni kwamba Okoye wamengia tena kwenye beef ikiwa ni mara ya pili
kama ilivyotokea 2016 na kundi hilo kufikia kusitisha shughuli zake za kimuziki kwa muda ambapo inasemekana Jude Okoye alitakiwa kufukuzwa uongozi wa kundi hilo lakini Paul Okoye akafanya uungwana kum bakisha kitendo ambacho kilimuudhi Peter Okoye.
Jana baadhi ya wadau walifikia kusema wanadhani hii ugomvi ni kiki na kuna albamu inakuja wanaiandalia attention,lakini hadi kuacha ziara!

0 comments:

Post a Comment