Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 2, 2017


  T-Pain and Lil Wayne


T-Pain ametangaza kum buruza Lil Wayne mahakamani.

Unaweza ukawa unashangazwa na habari hii sababu wawil hao wamefanya kazi nyingi pamoja.Kampuni ya Tpain inaiyoitwa T-Pain’s Nappy Boy Productions wameifungulia mashtaka Young Money kwa kutopatiwa malipo ya kuandaa albama ya Lil Wayne Tha Carter III.
Kampuni hiyo imedai kwamba T-Pain aliproduce hit siongs kama  “Got Money,” na kama haitoshi msanii wao Young Fyre, aliproduce wimbo“How to Hate”.
Kampuni hiyo imeitaka Cash Money kuwalipa $500,000.
Lil Wayne alitangaza anaida Cash Money $51 million  na pia Universal Music Group kwaajili ya faida ya mauzo ya kazi za wasanii wake kama Drake, Nicki Minaj na Tyga na zaidi ya hapo alitishia kuifuta Young Money ikiwa hatapata msimamizi mzuri.
T-Pain yupo katika maandilizi ya albamu yake mpya OBLiViON,ambayo imetajwa kutoka Nov. 17 wakati Weezy bado yupo katika kitendawili baada ya albamu yake Tha Carter V kukwamishwa

0 comments:

Post a Comment