Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 8/06/2013 02:57:00 AM
No comments
Fat Joe ametembelea kipindi cha The Breakfast Club na ameongelea matatizo yake ya kisheria na kuhusu kifungo kinachomkabili.Kama ilivyoripotiwa mweji june kwamba Bronx emcee na memba wa D.I.T.C.Fat Joe amehukumiwa miezi minne(4) gerezani kwa matatizo ya ukwepaji kodi(tax) kwa kipindi cha miaka miwili. Joe amesema matatizo yamejitokeza baada ya accountant wa muda mrefu kuretire kwa matatizo yake ya kifamily na ndipo alipoanza kufanya kazi zake na new accountant ambaye alimpanga kuendeleza taratibu za kulipa bills na taxes na namlipa kila mwezi,na kila mara alipomuuliza vpi jamaa alijibu amelipa kila kitu lakini chakushangaza jamaa hakuwa anafanya hivyo,kilichomshtua Fat Jor ni news kuhusu kutolipa bills na taxes.Fat Joe anasema alijitahidi kulipa baadhi ya madeni lakini The IRS walimwambia bado anadaiwa $60,00 ambayo ni malipo pamoja na penalty fee.Fat Joe ataanza kutimikia kifungo cha miezi minne jela August 26.
0 comments:
Post a Comment