Chief Keef ana umri wa miaka 17 tu,rapper huyo anakabiliwa na kesi ambayo mwenyewe amekiri itamcost,mara hii Chief Keef ameshitakiwa na concert promotion
company inayokwenda kwa jina laTeam Major back ambao wanadaiKeef alizingua na haukutokea kwa show London Dec. 29th 2012 ambapo wilmpatia zaidi ya $75,000 kama advance.
.
Me $230,000
0 comments:
Post a Comment