Michael Jordan mara zote amekuwa mshindi kwa court,kuanzia katika basketball court mpaka courtroom.
Mwanamama mmoja anayekwenda kwa jina la Pammela Smith alim buruza mahakamani star huyo mstaafu wa basket ball,Michael Jordan,kwa kilie alichokidai kwamba ana mtoto wak ,kesi iliunguruma mahakamani kwa miezi kadhaa lakini july 19 judge alikuwa akiendesha kesi alibaini uongo wa mwanamama huyo na kumuita Bogus mother na kama haitoshi amemtaka mma huyo amlipe Michael Jordan gharama za kuendesha kesi na usumbufu $9,704.13
Monday, August 5, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment