Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, September 26, 2013


Lile beef la muda mrefu kati ya Chris Brown na Drake limefikia mwisho baada ya wakali hao kuamua kumaliza tofauti zao.Chris Breezy na Drizzy wamedhihirisha kumalizana siku chache zilizopita huko Nevada.
Wakali hao ambao walishaanzisha varangati katika nightclub ya W.I.P.mwaka 2012 wameonekana wakikumbatiana katika tamasha la  iHeartRadio Music Festival huko Las Vegas mwishoni mwa wiki il;iyopita.Chanzo kimoja kinadai Drake na crew yake  walikuja katika music fest siku ya ijumaa kwaajili tu ya kucheck show ya Brown na baada tu ya Brown kushuka walikumbatiana wakapata kinywaji pamoja na hata kuongea mipango ya kufanya kazi pamoja.
Cahnzo kimoja kinadai aliyewapatanisha ni mmoja wa viongozi wa  Def Jam music,Abou Thiam ambaye pia ni kaka wa Akon

0 comments:

Post a Comment