Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, September 25, 2013

 Diddy
Bosi wa Bad Boy ameongoza list ya of hip-hop’s top 20 ya Forbes Cash Kings 2013.
Diddy ameingiza kiasi cha dolla millioni 50 katika kipindi cha miezi 12 kupitia Bad Boy record label,Sean John clothing line,Blue Flame marketing agency na dili lake na  Diageo’s Ciroc vodka
Jay Z ameshika nafasi ya 2 kwa kuingiza kiasi cha dolla millioni 43 kupitia ziara za muziki tour,Armand de Brignac champagne,D’Ussé cognac na Roc Nation label & management firm,pia ameingiza kiasi cha dolla millioni 5 kutoka Samsung ambao walinunu nakala millioni 1 za albumu Magna Carta… Holy Grail.
Dr. Dre ambaye mwaka uliopita aliongoza anashika No. 3 akiwa ameingiza kiasi cha dolla millioni 40 kwa mauzo ya headphones za Beats by Dr. Dre.
Nicki Minaj ndiye mwanadada pekee kwa list na ameshikilia No. 4 akiwa amejiingizia dolla millioni 29 kwa mipango mbalimbali ikwemo muziki huku akiwa katika mikono salam kabisa ya wana YMCMB Birdman, Lil Wayne na Drake.
 Cheki hapo chini Forbes Cash Kings 2013 List
1. Diddy – $50 million
2. Jay Z – $43 million
3. Dr. Dre – $40 million
4. Nicki Minaj – $29 million
5. Birdman – $21 million
6. Kanye West – $20 million
7. Lil Wayne – $16 million
8. Wiz Khalifa – $14 million
9. Ludacris – $12 million
10. Pitbull – $11 million
11. Drake – $10.5 million
12. Snoop Lion – $12 million
12. Eminem – $10 million
14. Kendrick Lamar – $9 million
14. Pharrell – $9 million
14. Macklemore & Ryan Lewis – $9 million
17. Swizz Beatz – $8.5 million
18. Tech N9ne – $7.5 million
19. 50 Cent – $7 million
20. Lil Jon – $6 million
20. Rick Ross – $6 million
20. Mac Miller – $6 million

0 comments:

Post a Comment