Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, September 25, 2013

Drake Says He's Reached Lil Wayne's Level Of Fame
Rappa Drake toka pande za Toronto ana studio album 3 ukichanganya na aliyoiachia jana sept 24.
Rappa huyo wa Young Money tayari amejilinganisha na boss wake,Li Wyne ambaye ana albamu zaidi ya 7 zilizofanya vizuri katika mauzo.
 Rappa Drake aliyasema hayo wakati akifanyiwa mahojiano na iHeartRadio na mtangazaji Ryan Seacrest, Drake aliulizwa alichokiimba katika mistari ya wimbo “Tuscan Leather ambao upo katika albamu ya Nothing Was The Same ,kuna mstari  Drake amerap, “I'm just as famous as my mentor/But that's still the boss, akimaanisha yeye ni maarufu kama Lil Wyne japo bado ni bosi wake.”
Ukiachana na Lil Wayne,Drakeamewazungumzia watu wenye vipaji ambao anawakubali muda wote,ambao ni Will Smith, Marvin’s Room Recording Studio owner John McClain na Jamie Foxx.

0 comments:

Post a Comment