Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, September 21, 2013

Drake
Drake alikuwa katika kitimoto katika kipindi cha televisheni cha “The Ellen DeGeneres Show” siku ya ijumaa.Rappa Drake aliimba “Hold On, We’re Going Home,”na baadaye mtangazaji Ellen alimchimba Drake kuhusu mahusiano yake na wanadada maharufu akiwemo Rihanna,Nicki Minaj,Tyra Banks, na Kat Dennings.Kuhusu Rihanna Drake alisema:ni msichana mzuri,nilishakuwa naye,mara zote napenda afanikiwe,nna mapeni naye.
Kuhusu labelmate Nicki Minaj:amesema yeye na Nicki ni kama familia.nampenda sana Nicki kwa moyoy wangu wote japo hatujawahi kuwa katika mahusiano kimapenzi.Vilevile Drake aliongelea kuhusu Tyra Banks na kusemaalitoka naye siku moja na walienda Disneyland,ilikuwa ni siku nzuri,ila sifahamu kama tulitoka kma marafiki or wapenzi.Drake amemaliza kwa kusema kwa sasa hatoki na yeyote kati yao.yupo singo.

0 comments:

Post a Comment